Saturday, March 8, 2014

Abiria wasema ukorofi wa dereva wa Sai Baba ndiyo chanzo cha kifo chake

Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Sai Baba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele wilayani Rungwe.

Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...
https://www.youtube.com/watch?v=-6gUQaS-Wv0&feature=player_embedded

Inspector Haroon anamshukuru Mungu kwa kumjalia kipato kilichompa hili gari kwa sasa

Inspector Haroon anamshukuru Mungu kwa kumjalia kipato kilichompa hili gari kwa sasa

Screen Shot 2014-03-08 at 4.03.45 PM 
Inspector Haroon ambae ni msanii wa bongoflevani kwa muda mrefu toka time hiyo yuko na mshkaji wake Luteni Kalama kwenye kundi la Gangwe Mobb, ameshea picha ya gari analotumia sasa hivi na kumshukuru Mwenyenzi Mungu. haron
Hiki hapa chini ndicho alichokiandika baada ya kuweka picha ya gari lenyewe.
inspekta
1912315_662061180517732_377128816_n

Rekodi Mpya kwa Uchumi wa Tanzania,Sasa niya 12 kwa Uchumi Barani Afrika

Rekodi Mpya kwa Uchumi wa Tanzania,Sasa niya 12 kwa Uchumi Barani Afrika

 
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani, CIA iitwayo The World Fact Book, Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika na 83 duniani.. Maoni Yako???


Differences between writing and speech



Differences between writing and speech
Written and spoken language differ in many ways. However some forms of writing are closer to speech than others, and vice versa. Below are some of the ways in which these two forms of language differ:
  • Writing is usually permanent and written texts cannot usually be changed once they have been printed/written out.
Speech is usually transient, unless recorded, and speakers can correct themselves and change their utterances as they go along.
  • A written text can communicate across time and space for as long as the particular language and writing system is still understood.
Speech is usually used for immediate interactions.
  • Written language tends to be more complex and intricate than speech with longer sentences and many subordinate clauses. The punctuation and layout of written texts also have no spoken equivalent. However some forms of written language, such as instant messages and email, are closer to spoken language.
Spoken language tends to be full of repetitions, incomplete sentences, corrections and interruptions, with the exception of formal speeches and other scripted forms of speech, such as news reports and scripts for plays and films.
  • Writers receive no immediate feedback from their readers, except in computer-based communication. Therefore they cannot rely on context to clarify things so there is more need to explain things clearly and unambiguously than in speech, except in written correspondence between people who know one another well.
Speech is usually a dynamic interaction between two or more people. Context and shared knowledge play a major role, so it is possible to leave much unsaid or indirectly implied.
  • Writers can make use of punctuation, headings, layout, colours and other graphical effects in their written texts. Such things are not available in speech
Speech can use timing, tone, volume, and timbre to add emotional context.
  • Written material can be read repeatedly and closely analysed, and notes can be made on the writing surface. Only recorded speech can be used in this way.
  • Some grammatical constructions are only used in writing, as are some kinds of vocabulary, such as some complex chemical and legal terms.

What is writing?

Writing is a method of representing language in visual or tactile form. Writing systems use sets of symbols to represent the sounds of speech, and may also have symbols for such things as punctuation and numerals.

Definitions of writing systems

Here are a number of ways to define writing systems:
a system of more or less permanent marks used to represent an utterance in such a way that it can be recovered more or less exactly without the intervention of the utterer.
From The World's Writing Systems
a set of visible or tactile signs used to represent units of language in a systematic way, with the purpose of recording messages which can be retrieved by everyone who knows the language in question and the rules by virtue of which its units are encoded in the writing system.
From the The Blackwell Encyclopedia of Writings Systems
All writing systems use visible signs with the exception of the raised notation systems used by blind and visually impaired people, such as Braille and Moon. Hence the need to include tactile signs in the above definition.
In A History of Writing, Steven Roger Fischer argues that no one definition of writing can cover all the writing systems that exist and have ever existed. Instead he states that a 'complete writing' system should fullfill all the following criteria:
  • it must have as its purpose communication;
  • it must consist of artificial graphic marks on a durable or electronic surface;
  • it must use marks that relate conventionally to articulate speech (the systematic arrangement of significant vocal sounds) or electronic programing in such a way that communication is achieved.
Writing systems are both functional, providing a visual way to represent language, and also symbolic, in that they represent cultures and peoples. In The writing systems of the world, Florian Coulmas describes them as follows:
As the most visible items of a language, scripts and orthographies are 'emotionally loaded', indicating as they do group loyalties and identities. Rather than being mere instruments of a practical nature, they are symbolic systems of great social significance which may, moreover, have profound effect on the social structure of a speech community.


think about

kwa watu wengine huona kama maisha ni mtelemko na hakuna ugumu wowote katika kutimiza yale  mambo yoote ya msingi ambayo kila binadam anayahitaji katika ustawi wake maisha ya kila siku lakini swali linakuja je ni wangapi ambao wapo katika wakati mgumu kiasi kwamba hawawezi hata kupata milo miwili japo kwwa siku ama la sivyo hata mlo mmoja kwa siku?
hapa ndipo utatambua kuwa mungu alimuumba mwanadam kwa maakusudi yake mwenyewe ikiwa kwamba kama wewe unauwezo wa kupata tatu(3) basi wakumbuke wale wasio na uwezo wa kupata hata moja kwakuwa kuna watu ambao hata iwaje kila akitafuta hawezi kupata na ametafuta kwa kutumi nguvu zake zote lakin je wewe upo katika kundi lipi?

Sunday, February 9, 2014

Matokeo Yote ya Uchaguzi wa Udiwani hii leo Nchini Tanzania yanapatikana hapa.

LIVE Matokeo Yote ya Uchaguzi wa Udiwani hii leo Nchini Tanzania yanapatikana hapa.

Vyanzo Vyetu Vya Habari vipo Kila Kona Nchi Kukujuza Kile kinachoendelea Muda huu Nchi Tanzania,Matokeo ya Uchaguzi wa Kata Mbalimbai(Uchaguzi Mdogo uliofanyika hii leo 09.02/2014.MATOKEO YOTE TUNAYOWEKA HAPA NI KUTOKA VYANZO MAKINI SANA NA SIO UPOTOSHAJI.

MATOKEO YOTE KUTOKA KATA MBALIMBALI

KUTOKA BAGAMOYO
:
KIBINDU.Matokeo ya jumla:

CCM- kura 1682(75%),CHADEMA-kura 548(25%).

MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.
KUTOKA LINDI NA MTWARA.
Nimezungumza na Mwenyekiti wa CCM Lindi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Chitanda na sasa amehamia CCM ni kwamba,
CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika hii leo.Mchanganuo Unakujia hivi Punde.
NACHINGWEA....
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517
KUTOKA IRINGA MBUNGE WA CHADEMA ANASEMA.

Peter Msigwa
Tumeshindwa kata ya nduli Iringa MJINI , polisi imetumika kwa nguvu kubwa kusaidia CCM ishinde , nimewekwa ndani kwa kosa amabalo sikutenda na Kisha kufikishwa mahakamani, Leo nilikamatwa tena nikazuiliwa masaa mtatu na vijana wangu 25 wapo polisi eti kwa kosa la kwenda kwenye eneo la kata.
KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,
CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).

KUTOKA MOSHI.
Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA

KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296 
CUF---------- 935.
CDM--------29 
NCCR------34
CCM imeshinda 

KUTOKA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
 - CHADEMA Imeshinda Kata ya Sombetini kwa 2548 na CCM 2077
KUTOKA RUNGWE MKOANI MBEYA.
CCM Imeshinda kata ya Malindo(Mchanganuo unakujia).Haya matokeo nimeyapata kwa Mwenyekiti wa CCM Rungwe. 

KUTOKA MANYARA KITETO
CCM Imeshinda kata Zote mbili ikiwamo ya Partimbo.Matokeo haya nimeyapata Kutoka kwa Katibu wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.

KUTOKA KAHAMA KIBAGWE
CCM Imeshinda Kata ya Kibagwe(kulikuwa na Kata moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA BUNDA
CCM Imeshinda (Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi). 

KUTOKA NJOMBE MJINI'
Chadema Imeshinda Kata(Ilikuwa Moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA LUDEWA
CCM imeshinda,Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi 

KUTOKA SANTLYA MBEYA
 Matokeo Rasmi Kata ya SANTILYA-Mbeya Vijijini.
CCM - 1650
CDM - 1154

ORED GROUP

ORED GROUP.  ni kikundi cha vijana  wenye lengo la kukuza na kuendeleza Taifa kiuchumi, kwa kufanya mambo yafwatayo ktk jamii ya kitanzania:-
  • kutoa mafunzo kwa wajasiriamali 
  • program fupi za mafunzo kwa wenye uhitaji
  • kutengeneza mpango wa biashara na mengine mengi
wote munakaribishwa
kwa mawasiliano zaidi piga namba
+255776700500
+255657804804

http://internetduty.com/earning.php?id=ahaz1863

http://internetduty.com/earning.php?id=ahaz1863

http://kilelechahabaritz.blogspot.com/2014/02/hii-kali-sana-jamanijibaba-haliwaamini.html

do you think why people lies to their wives/husbands?

is a new story coming soon!!!!!!!!!!

Tuesday, February 4, 2014

Monday, February 3, 2014