kwa watu wengine huona kama maisha ni mtelemko na hakuna ugumu wowote katika kutimiza yale mambo yoote ya msingi ambayo kila binadam anayahitaji katika ustawi wake maisha ya kila siku lakini swali linakuja je ni wangapi ambao wapo katika wakati mgumu kiasi kwamba hawawezi hata kupata milo miwili japo kwwa siku ama la sivyo hata mlo mmoja kwa siku?
hapa ndipo utatambua kuwa mungu alimuumba mwanadam kwa maakusudi yake mwenyewe ikiwa kwamba kama wewe unauwezo wa kupata tatu(3) basi wakumbuke wale wasio na uwezo wa kupata hata moja kwakuwa kuna watu ambao hata iwaje kila akitafuta hawezi kupata na ametafuta kwa kutumi nguvu zake zote lakin je wewe upo katika kundi lipi?
No comments:
Post a Comment