ORED GROUP. ni kikundi cha vijana wenye lengo la kukuza na kuendeleza Taifa kiuchumi, kwa kufanya mambo yafwatayo ktk jamii ya kitanzania:-
- kutoa mafunzo kwa wajasiriamali
- program fupi za mafunzo kwa wenye uhitaji
- kutengeneza mpango wa biashara na mengine mengi
wote munakaribishwa
kwa mawasiliano zaidi piga namba
+255776700500
+255657804804
No comments:
Post a Comment