Abiria wasema ukorofi wa dereva wa Sai Baba ndiyo chanzo cha kifo chake
Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya
basi la kampuni ya Sai Baba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es
Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele
wilayani Rungwe.
Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...
https://www.youtube.com/watch?v=-6gUQaS-Wv0&feature=player_embedded
No comments:
Post a Comment